See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

JE KUNA KAFARA YA MTU ALIYESHIKA QUR'ANI BILA YA TWAHARA?


SWALI:  Je kuna Kafara ya mtu aliyeshika Qur'ani bila ya twahara:

JAWABU: Bila shaka kushika Mswahafu bila ya kuwa na twahara ni katika mambo yalio haramishwa kwa Mwenye hadathi ndogo au kubwa na hii ni kwa mujibu ya kauli ya Jamhuri ya wanachuoni. Kwa hivyo mtu anapo shika Qur'ani bila ya kuwa na twahara huwa amefanya dhambi na ni juu yake kutubia na kuleta Istighar na kuazimia kutofanya tena kosa hili mara nyingine, na mtu Akitubia hufutiwa ile dhambi kwa Idhini ya Mwenyezi mungu, kwa sababu toba ya kikweli huwa ni kafara ya ile dhambi kwa neno lake Mtume Rahma na amani zimfikie Yeye:

 

التائب من الذنب كمن لا ذنب له]     أخرجه ابن ماجه] 

 

[Alitubia na Dhambi ni kama asie kuwa na dhambi]    [Imepokewa na Ibnu Maajah.]

Na jee mtu halazimika na kitu chochote? La hakuna jambo lingine lolote, wala kafara aina yoyote ile.

Na Allah ndie mjuzi zaidi.

logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6996845
TodayToday6613
Highest 07-13-2020 : 11972
US
Guests 194

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5f108332e31ad18439992511594917682
title_5f108332e32407297335331594917682
title_5f108332e32cd20206762331594917682
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5f108333140c29748490571594917683
title_5f1083331414f9965110221594917683

HUDUMA MPYA

: 15 + 8 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com